Labels

Friday, 30 September 2016

JE UNAHITAJI MKOPO?

Kutokana na ongezeko la mahitaji ya pesa kwa watu wengi na uhaba wa kipato katika kutimiza mahitaji hayo,watu wemgi tumejikuta tukishindwa katika kutimiza zile ndoto na matarajio yetu ambayo kimsingi yamekuwa na utegemezi mkubwa wa pesa. biashara,ujenzi.elimu na mahitaji mbalimbali ni moja ya vitu ambavyo vimekuwa ni changamoto kubwa sana katika kuvitimiza katika mazingira ya uhaba wa pesa tulioanao.

Kwa hali hii ndipo ambapo watu tumeamua kutafuta njia mbadala ya kuweza kupata pesa ambazo zitaweza kukidhi mahitaji hayo na kuweza kutimiza ndoto zetu,na njia kuu ambayo wengi wetu tumejiingiza na kutumia sana ni njia ya kupata pesa kwa njia ya MKOPO. njia ambayo imekuwa mkombozi mkubwa sana kwa watu wengi lakini pia imekuwa msumari wa moto kwa watu wengine,na hii yote ni kutokana na namna ya utafsiri wa mkopo wenyewe,njia za upatikaji wake na hata matumizi ya mkopo huo hadi kufikia suala la urejeshi wa mkopo huo.

Nini maana ya MKOPO??

Thursday, 22 September 2016

wasiliana nami


jina        :          AMAN L.M NGUVILA

makazi:           MOROGORO

simu;               +255(0)757 444 448
                           +255(0)653 277 777

barua pepe: thewise13185@gmail.com

blog:  mwangawaamani.blogspot.com

karne ya 21,je wewe ni karne ya ngapi?

tunashuhudua mabadiliko meni katika zama hizi za mabadiliko makubwa ya teknolojia,ni vyema utambue kuwa wewe je unaendana na mabadiliko hayo na je yamekunufaisha vipi na kukuathiri vipi?

Utumwa wa simu

je wewe ni mtumwa wa simu yako ama? nini vitu gani vinaweza kukuashiria kuwa wewe ni mtumwa wa simu?
....................

KWA NINI USIKOPE PESA YA KUAZISHA BIASHARA

ni lazima utambue kuwa ili tafsiri ya mkopo ieleweke na kukamilika basi marejesho ni neno lisiloachwa kabisa. marejesho ni pesa ambayo unailipa kutokana na pato fulani iwe kutoka katika biashara ama mshahara wako. yawezekana kutoka katika shughuli ambayo mkopo ndipo ulipoelekezewa au hapana.
unapokopa kwa kuanzisha biashara ni hatari sana kwani uwezekano wa kushindwa kulipa mkopo ni mkubwa sana maana unakuwa huna uzoefu katika biashara hujui nyakati zipi katika biashara ni hatari na zipi ni za neema. .........

USIKATE TAMAA KESHO YAKO IPO

Maisha yana tafsiri kubwa sana na mtafsiri mkuu wa maisha yako ni wewe mwenyewe,kujiona wewe una matatizo angali hujaona ya wengine kamwe usithubutu kusema afadhali fulani kuliko mimi. kupitia hadithi hii jifunze kitu

KOPA KWA SABABU

Hakuna asiyehitaji pesa ktk dunia ya leo ndio maana tunafanya kila juhudi kuzipata.
Bank zina pesa zikitaka watu wakope sana tena kwa wingi ila sasa ajabu yake ni kuwa sio wote wanaoenda kuomba pesa yaani mkopo wanapewa. kwa nn? na wewe hata kama unahitaji pesa kiasi lakini si kila pesa ni ya kuikubali.

AFYA

RAMBA ASALI KUNYWA MAZIWA FANYA MAZOEZ

PESA NA MUDA

muda ni rasilimali kuu kwa mtu yeyote anaependa kujikwamua kiuchumi