ni lazima utambue kuwa ili tafsiri ya mkopo ieleweke na kukamilika basi marejesho ni neno lisiloachwa kabisa. marejesho ni pesa ambayo unailipa kutokana na pato fulani iwe kutoka katika biashara ama mshahara wako. yawezekana kutoka katika shughuli ambayo mkopo ndipo ulipoelekezewa au hapana.
unapokopa kwa kuanzisha biashara ni hatari sana kwani uwezekano wa kushindwa kulipa mkopo ni mkubwa sana maana unakuwa huna uzoefu katika biashara hujui nyakati zipi katika biashara ni hatari na zipi ni za neema. .........
No comments:
Post a Comment